Mungu wetu ni yeye yule Jana na leo ..
Habadiliki wala kupotea ..Yupo kila wakati kuwahudumia watu wake wasipotee bali Wawe na UZIMA WA MILELE
MWANZO 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
No comments:
Post a Comment