Shalom
*...Mkiisha kuwekwa huru....*
🌹lazima kuwa huru katika maisha yetu ili tuwe mbali na dhambi. 👇🏽👇🏽
*Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele. Warumi 6 :22*
🙆🏽♂kumbe dhambi na kutokuwa huru kunatunyima kupata ya kutakaswa, na tena tunakoswa uzima wa milele.
🙇🏽pia hakuna uzima wa milele bila utakaso, hivyo Tafuta utakaso upate uzima usio na mwisho. 😀😀
_usililie baraka ila Lilia utakaso kwanza_
©Mwl Erick Machumu
0752763020
No comments:
Post a Comment