1 Yohana 1:7 bali tukienenda nuruni, kama yeye alivyo katika nuru, twashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.
Tunapoenenda katika nuru tunashirikiana na Kristo
Palipo na nuru Macho huo vizuri ..Ukitembea Nuruni huwezi kujikwaaa
a) Damu ya Kristo ni Upatanisho
Damu inapatanisha ..Tumetenganishwa na Dhambi lakini Damu ya Yesu imetupatanisha na Mungu /,kutoka katika dhambi.
Wakosai 1:20 na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.
Kwa Damu ya Yesu tumekombolewa ..
Damu lazima isafishe dhambi zote..
Ufunuo 7:13 Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?
14 Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hao ndio wanatoka katika dhiki ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao, na kuyafanya.
Kanisa lazima Liwe Takatifu ..
Aliyeshinda dhambi ndio mshindi wa kuingia Mbinguni ..
Damu ya Yesu imekuja kututengeneza ..
Damu ya Yesu ipo kwa ajili ya Mtenda dhambi
Ipo kwa ajili ya MAISHA yetu.
Unapoaasi dhbi inakupata ..
Ni wakati wa kuutazama Msalaba wa Yesu ..
Bila kuwagiwa kwa Damu Kristo tiungeangamia
Waebrania : Mlango 13
12 Kwa ajili hii Yesu naye, ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe, aliteswa nje ya lango.
Damu ni upatanisho wa nafasi zetu na Mungu..
Walawi 17 :11 Kwa kuwa uhai wa mwili u katika hiyo damu; nami nimewapa ninyi hiyo damu juu ya madhabahu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu; kwani ni hiyo damu ifanyayo upatanisho kwa sababu ya nafsi.
Tunamshinda Shetani kwa njia ya Damu ya Yesu Kristo peke yake.
Ufunuo 12:
11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
No comments:
Post a Comment